Angalau watu 66 wamefariki na makumi kadhaa wamejeruhiwa wakati ndege ya kijeshi iliyokuwa imebeba watu 125 ilipoanguka ...
JESHI la Polisi mkoani Geita limewatahadharisha wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Msasa wilayani Bukombe mkoani Geita kuepuka ...
Urusi imesema imeanzisha uchunguzi leo Jumatano baada ya ndege ya kijeshi ya Urusi kuanguka katika eneo la Ukraine ...
Rubani wa shirika la ndege la Air Canada na msaidizi wake wamethibitishwa kufa baada ya ndege yao kugonga gari lilokuwa ...
Familia za waathiriwa zimekusanyika katika uwanja wa ndege huku mamlaka ikichunguza chanzo cha ajali hiyo. Na Asha Juma Tumepata uthibitisho kuwa watu 179 waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamefariki.
OFISI ya Afisa Madini Mkazi Mbogwe imetoa ufafanuzi kuhusu tukio la ajali lililotokea katika Mgodi wa Dhahabu wa Msasa kwamba wakati tukio linatokea hapakuwa na shughuli zozote za uzalishaji katika en ...
Takriban watu 288 wamefariki baada ya treni mbili za abiria kugongana na treni ya mizigo huko Odisha. Chanzo cha picha, Reuters Mwanariadha wa Kenya Faith Kipyegon aliweka rekodi mpya ya dunia ya mita ...
Wahamiaji tisa wamefariki dunia na 45 hawajulikani walipo baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Djibouti wiki hii. Haya ...
Ndege ya Air Canada iligongana na lori la zimamoto katika Uwanja wa Ndege wa LaGuardia jijini New York Machi 22 usiku, na ...
Shauri namba 39 la mwaka 2026 kuhusu ajali ya ghorofa lililoporomoka eneo la Kariakoo limeanza kusikilizwa rasmi katika Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, likihusisha waathirika na wamiliki wa jengo hil ...
Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa zamani wa Lugari, Cyrus Jirongo, amefariki dunia kufuatia ajali ya barabarani eneo la Karai. Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa zamani wa Lugari, Cyrus Jirongo, amefariki ...